Wednesday, January 29, 2020

Watch "Che Mataka - TINGISHA (Official Music Video)" on YouTube

https://youtu.be/MUet80Qj3dE


VITU VYA KUZINGATIA KATIKA MAISHA

MAISHA YANA VITU 7;
*1:- Furaha.*
*2:- Karaha.*
*3:- Misukosuko.*
*4:- Majonzi.*
*5:- Migogoro.*
*6:- Mikasa.*
*7:- Chuki.*

*Haya yote husababishwa na viumbe hai kama mimi na wewe, ili kuyashinda haya yakupasa uwe na mambo 4.*

*1:- Subira.*
*2:- Uelewa.*
*3:- Uvumilivu.*
*4:- Msamaha.*

*Lakini katika maisha yako pendelea sana kuwa na mambo 4.*

*1:- Msimamo.*
*2:- Mkweli.*
*3:- Ujasiri.*
*4:- Imani.*

*Ila epuka sana mambo 5.*

*1:- Udanganyifu.*
*2:- Uchoyo.*
*3:- Ubinafsi.*
*4:- Wizi.*
*5:- Kufitinisha.*

*Kumbuka kumjali anaekujali hata kama yupo mbali nawe.*
*Mpende anaekupenda hata kama hana kitu jali utu kuliko kitu.*
*Ibada kwa Imani yako ndio Nuru yako Duniani na Mbinguni* 
Prepared by danny mngete


Friday, January 17, 2020

KAKA AKE AMBER-RUTY ACHIA VIDEO MATATA

S
ONA..NI WIMBO MPYA KUTOKA KWA KIJANA WAKUITWa Aly-a.k.a pinokio pn ambaye ni kaka wa Amber Ruth ameachia new single inayoenda kwa jina la #ONA WIMBO upo Youtube, Search pinokio pn. Utaupata.

Yup chini ya Leon kubwa -WORLD MUSIC PRESENTS.

Tuesday, November 5, 2019

KWA NGUO KALI,MOKA NA SHUTI.CODE ZA KIJANJA

 Unakwama wapi.
Searchcode255. Karibu upate pamba Kali na mavazi yenye hadhi.
Vaa upendeze.
Unakosaje kiatu kama hiki.
BEI ooiooh
Unakosaje ukali
Kwa elfu 35/=
Tu.

HAPA FULL KUSHINE.
WASAFI FESTIVAL NITAKUWEPO NJOO TUVAE TUPENDEZE KWA BEI LAHISI KSBISA SO USIKWAME.
KWA MAWASILIANO ZAIDI
0785924749.

TUPO DSM! TANZANIA.
KAMA UNAHITAJI KUWEKEZA,KUTANGAZA NASI BASI KARIBU UNAWEZA KUNICHEKI CHAPU.
KWA PROMOTION ZOTE.

USAFI USAFINI FASHION.TUPO DSM KWA MAWASILIANO 0785924749




KARIBU UPENDEZE HAPA KODI KAMA ZOTE UNAKWAMA WAPI USIBABAIKE NA VITU VEKI.KARIBU *USAFI USAFINI FASHION*
TUPO DSM-MBEZI MWISHO KWA RABA KALI.
NGUO ZA KIJANJA.
TUKELEZEA KIJANJA.
TUPIGIE; 0785924749.

Saturday, November 2, 2019

MATRIX-TULIZANA OFFICIAL AUDIO IS AVAILABLE.

 Tulizana.
Fanya kama unamsakua jamaa huy msanii wa bongo fleva wakuitwa *MATRIX*
 TANZANI FOR MORE TALENTED.
SO STAY FOR SUPPORTING.
UPCOMING ARTST.
 KWA EXCLUSIVE INTERVIEW NJOO
INSTAGRAM.DARJOTO TV.
HII NI TEXT YA SHABIKI ANAYEFUATILIA
MUZIKI MZURI.
KUTOKA.
*DARJOTO TV VIBER.
KARIBU ENDELEA KUSUBSCRIBE.
BASI TOGETHER WE CAN.

DARJOTO TV. VIBER.DJRVINOH FROM KENYA..

DJRVINOH.
FROM KENYA.
ANAKUTAMBULISHA WIMBO WAKE
MPYA.
🚬Akishuka.



WIMBO
MZURI KENYA WANAJITAHIDI KUBOGA KISWAHILI KWA USAHIHI.
LEO KATIKA.
💴searchcode255. Ndani ya
#DARJOTO TV.VIBER.
AMEBOGA MENGI.

EXCLUSIVE IPO YOU TUBE.
HOST OF THE SHOW
*KIMODOMSAFI*.
KWA SAPORT KARIBU MSAFI MEDIA.
*DARJOTO TV*
0785924749.
LOCATION. DAR ES SALAAM