Monday, June 24, 2019

MTOTO AKE AMBER LULU,ABAINIKA ANAHISHI CHANIKA...

Niaje Watanzania.
Duniani kumezaliwa watu wanafanana aisee
Hugo hapoo mwenye picha ndongo ni mtoto was kike anayefanana na star wa like katika tasinia ya bongo fleva . AMBER LULU.

HUYU MTOTO ANAPATIKA MKOANI HAPA DAR ES SALLAAM PANDE ZA CHANIKA.

Amber,sijajua kuwa anamjua au mdogo akee.

Haya endelea kufuatilia 📺KIMODO MSAFI TV.
Nami ni @kimodoMsafi.

No comments: