Tuesday, September 3, 2019

NJINJO BOY -MSANII WA BONGO FLEVA APATA SHAVU NDANI YA #SEARCHCODE255.


HUYU HAPA ANAITWA(NJINJO_BOY) ARTST(MUSICIAN-FROM EAST-AFRICA+TANZANIA-DAR ES SALAAM.ANAFANYA MUZIKI WA BONGO FLEVA-KWASASA ANATAMBA NA WIMBO WAKE UNAOHITWA(NIYEYE) AKIWA FT NA KIBO. KWA WIMBO HUO UNAFANYA VYEMA SANA.
SIKU YA ALHAMISI AKUWA NA EXCLUSIVE INTERVIEW NDANI YA MSAFI TVONLINE+KWENYE KIPINDI CHA #SEARCHCODE255.  SO SHOW HI SIO YA KUKOSA. WATANZANIA TUNAOMBA MPOKEE KIJANA WENU.KWA NIABA YA MSAFI MEDIA INATOA SAPOTI KWA WASANII WACHANGA.
KARIBU UJITANGAZE BUREE.TUMA WIMBO WAKO WHTSAP 0783862565.

No comments: