Saturday, September 14, 2019

ZIJUE FAIDA ZA BANGI NA MTAALAMU WA MASUALA YA MIMEA NA DAWA.

#Thecaption..Never give up.
Je! Unajuammea wa  uzalishao zao la bangi ,bangi nini? Bangi ni mjani bangi ni mboga kama mchicha .
 Africa zao ili linalimwa sana katika nchi ya moritanius uko Africa y kati

Africa mshariki bangi inalimwa ila kwa uchache sana. Tuangalie Nchini Tanzania bangi inalimwa uko Arusha,na ndo mkoa unaongoza kwa matumizi ya bangi.

Bangi inafaida na madhara yake katika uvutaji ila katika ulaji inafaida nyingi. Bangi inatibu magonjwa yote ya mwili.

Chukua hiyo.

Written by KimodoMsafi.
Nifuatilieinstagram kama kimodomsafi.pia msafitvonline.
Asante.

No comments: