Friday, November 1, 2019

*SURA PESA* AU PESA SURA. MWENEKANO UNALIPA

Chukua hii.ukijifikilia,ukajitazama unajiona Mrembo basi .
Ukiwa 💁Mrembo sio ujiweke kwa wansume. Unaweza kuwa MTU wa fashion ukawa unaingiza kipato kupitia uo urembo wako.


👪kuwa na MARAFIKI wenye maoni yakujenga sio kujengua sio kila rafiki umwamini. WENGI masinich.

📷picha Kali nazo ni bidhaa kivip..unapiga pamba zako Kali na location Kali mbona utatafutwa.
Ni sawa na kuwa na followers wengi afu uwatumii vizuri.

Humu kuna wafanya biashara so wanasubiri ufanye maahamuzi.
So karibu kuwapuuzia wapuuzi wotee.

Mwanamke ni pambo so unapendezs ukijiheshimu na kutambua nafasi yako katika jamii iliyokuzunguka.
Maana we soon unakuja kuwa mama bora.
So majukum yapo so utakutana nazoo.
Basi ELIMU hiyo inatosha.

No comments: