Friday, March 29, 2019

KIMODO NEWS.

  1. Habari ya kwanza nikutoka hapa Tanzania ,gari LA polisi limemgonga mwananchi mmoja hapa jijini Dar es salaam na derava wa gari hilo kukimbia kusiko julikana.
  • Elimu bure,imekuwa na tija sana katika wananchi wa kitanzania ila tunasahau kuwa mtoto akitoka shule ya secondary unatakiwa aende chuo so chuo ataenda na nini. Uko sio bure. Wazazi bado ni swali gumu sana kwenu naingekuwa zile ela mlizokuwa mnatoa karo na mahitaji ya shule zikusanywe haziwezi kulipa hata mwaka mmoja wa chuo. Cha msingi muombe mh rais elimu iwe bure mpaka vyuo maana hata hapo kazi msitegemee kabisa.
  • Tumia pesa upate pesa ila kwa kapuku ela unahitolea wapi kipato cha kuunga unga

No comments: