Sunday, March 31, 2019

FURSA KWA VIJANA WENYE TALENT ZA KUTANGAZA ,ONLINE TV NA KUBLOG.

SP TV
Asante allha kwa kubles mpaka siku ya Leo.
Leo ni siku nyingine 31/03/2019.
New bland (TV online)
[Sptv_online from Tanzania.
Tunakusogezea habari mbali,michezo burudani na #INTERVIEW_ZA_WASANII.
TUNAKUSOGEZEA KILA KITU KUHUSU ENTERTAINMENT.

KAMA WE NI KIJANA MWENYE KIPAJI CHA KUTANGAZA KWA TV ONLINE..UNAKARIBISWA SO NAFASI KWAKO.

UNAWEZA KUTUCHEKI #KIMODO MSAFI ENTERTAINMENT.

KWA MAWASILIANO;  +255744556509.
 EMAIL;hemedymajidy33 @gmail.com.

Facebook/Instagram/twitter=sptv.
SP TV.        @sptv_online.  As twitter @sptv_online.


Kama we ni mwandishi wa makala mbali mbali na hauna blog ya kuchapisha makala yako ni www.kimodomsafitz.blogspot.com
☝hapa utapata nafasi ya kipekee kuwa na page yako ili mradi uweze kuelimisha jamii.

Nawe kama unauwezo wa kukusanya habari mbali mbali,matukio ya kujenga sio kubomoa utatucheki kwa namba zetu hapo.

💬0744556509

Tuma ujumbe utajibiwa au call (pigs simu)husibipu....

Asante by @kimodomsafitz.

No comments: