Monday, September 2, 2019

ALICHOSEMA TUNER-MSANII WA BONGO FLEVA KUHUSU WCB- kijana mwenye kipaji cha pekee.

Hii hap ni cover ya wiwbo wa tuner-nenda.
Wimbo huu ukihusikiliza utagundua kitu ambacho huyu kijana amejaliwa.kwanza amejaliwa sauti nzuri,pia uandishi then uwezo wa kujiamini. Kujiiamini nacho nikipaji I'll mlitambue. Tuner-jana nikifaya nae interview katika kipindi cha #SearchCode alielezea mambo kadhaa but moja la msingi alisema msanii kufika mbali nikutokana na nidhamu ya msanii.
 Nikamuuliza swali hivi nikwanini wasanii ambao wanasikaka na kutasua wwngi ni kutoka wCb ,majibu akasea Wcb+Wananidhamu.
Ndomaana wameenda mbali afu na kipato.

Saw a....je! We una maoni gani kuhusu msanii kukosa nidhamu-

Share n comment.
Asante.
Hosted by Kimodomsafi.

No comments: