Monday, September 2, 2019

MSANII MPYA ATANGAZWA NDANI YA THEMAFIKI,TATU BOMBA(SENNYFLEVA)

Huyu haya msanii mpya ndani ya kundi bora tanzania(theMafiki.
Kipaji kipya town(kutoke Kimodo-msafi+intertainment)mpaka (Themafick)wow tunasubiri muziki mzuri kijana .sio kwenda kubweteka pale themafik piga Nazi kijana.

Tunajua boss/shetta-babakaila uwag akosei ameona unafaa kukava nafasi so wimbo wako naamini uko vyedi sana.

Tunaomba uwe na nidhamu-ukikosa nidhamu basis hapo hautokuwa na life mzee kaza.

Karibu #Sennyfleva.Tunapenda kukukaribisha ndani ya kiwanda cha burudani. Karibu.

Pamoja sana Wadau mnaoendelea kufuatilia #msafitvonline. Tunasema hatutowaangusha. Tunafanya kazi kwa ueledi. Kama we ni msanii husikose kutucheki kwa namb +255783862565.
Instagram/msafitvonline/Facebook/msafitv/kitaani kwetu.

Hosted was kipindi @kimodoMsafi on Instagram.
Usisahau like n comment You tube/msafitvonline.
Asante.

No comments: