Sunday, September 22, 2019

NABII SULEIMANI-NDO CHANZO CHA FREEMASON(SOMA ILIKUWAJE YEYE ALIKUW FREEMASON AU ALISABABIBISHA FREEMASON WAPATE SIRI KWA KUMPOLA ENGINES R .FUATILIA.

Freemasonry-ilianza kuwa katka ulimwengu 100Bc uko nyuma na (kabla ya kristo. Siri ambayo uijui nikuwa hapo zamani @nabii suleimani+ndo binadamu pekee ambaye alikuwa na utajiri mwingi hapa duniani na pia alikuwa anaongea na mwenyezi mungu moja kwa moja bila chenga.

🌍 Nabii Suleiman kutokana na utukufu wake mwenyezi mungu alimpa mamalaka ya kujenga jengo kubwa lakutunza zile amri kumi za mungu. Kama uzijuavyo.
Mwenyezi alimpatia nabii suleimani siri kubwa sana na ndani ya siri hiyo nikuwa kila binadamu angeweza kuijua angekuwa na maisha ambayo sio ya kawaida na kufanya mambo malubwa.


Kwasasa siri hiyo imedondoka kwenye mikono isiyo salaam kwa #freemasons.
Hawa watu sio wazuri waowanajiitaa ni wajenzi Wa dunia.
Ukiangal watu wanao jiunga Freemason kwanini wanakuwa na Mali.nyingi pia wanaonekana sio watu Wa kawaida?

Na ilikuwaje Freemasonry wanapata siri hizo na wanaanza kuzitumia(nabii Suleiman alimpatia mkandalasi mmoja aliyeitwa(Abraham ili ajenge jengo Ilo lakutunza amri kumi za mungu akiwa anajenga jengo hilo LA ajabu(ndugu zake walitka kujua na kupata hiyo siri
Kilichofuata waliamua kumuua ndugu yake ibrahm uli wapate siri  waweze kuitawala Dunia .

Walifanikiwa kumuua na hiyo siri ya ajabu wakaichukua na kuanza kuitumia ndivyo sivyooo
Ooooh dinia inamengi zaidi ngoja uyajuwe hayo tu.
Mimi nimeishia hapo ukihitaji zaidi fiatia msafitvonline on you tube.
Written by @ahmedMajid
0783862565

No comments: