Exculusive interview ya msanii wa bongo fleva wa kuitwa kipaza nifunga mwaka
Kuwatoa povu kwa media za kibongo kuwa zinawakwamisha wasanii wachanga sio kama media za mbelee(ulaya)
Haya nimekusikia kipaza umemaliza jambo.
Hapo umenena ukweli media Fulani zinafelisha sasa nini chakufanya but tambua muziki ni biashara so unabidi uwekeze ela upcoming wanahitaji kusaidiwa ila nao hawaoneshi kuhitaji kusaidiwa so mnajiangusha wenyewe hapo sisaport kabisa sema tu kwa maoni na maono yako binafsi naeka mb zangu nakufnyia prom we umebweteka so unaimnisha mini.
Hakuna msaada bila ya kujiongeza
Ukitoka unadeal na maishayako.
So stay conected.
No comments:
Post a Comment